supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Duh!!Ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia GOOD NIGHT unatoka nje kuhakikisha kama ni usiku kweli
Nimefika hapa Polisi Station Minanzini nimefarijika sana baada ya kumkuta askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anahusika na Kesi za mauaji.
Jamaa mmoja alikua anacheka sana watu wakamuuliza kwann unacheka hivo
rafikii yangu kaniibia namba ya demu wangu kwenye simu yangu
watu wakamuuliza sasa ndo maana anacheka akasema nacheka kwa sababu anamtongoza na kumtumia masage za mapenz dada yake nwenyewe
KUNA WADADA WANAJIONA WAZURII YANI HATA MOTONI WATATAKA WACHOMWE NA MICROWAVE
Nyie madem mtuoneage huruma jamani. Sasa unamuomba mtu hela ya salun laki tatu. Hata operation ya kichwa haifiki hiyo hela
we tukana tu ruksa ila ban itahusika
Ushawahi kuwa na mpenzi muongo mpaka akikwambia GOOD NIGHT unatoka nje kuhakikisha kama ni usiku kweli