<<<HIVI HIZI SIKU HIZI BADO ZIPO:>>>
1. Kung'olewa jino kwa uzi na kutupwa juu ya bati ili liote jingine.
2. Ubwabwa kupikwa siku za jumapili tu.
3. Kidonda kutibiwa na unga wa vidonge au mafuta ya taa.
4. Ukumbi wa sherehe kupambwa na toilet paper.
5. Kunyolewa na mkasi.
6. Kufunga hela kwenye leso au pindo la khanga.
7. Kwenda kuangalia sinema za ukimwi na lishe sokoni.
8. Kurewind kanda kwa pen.
9. Ndala kuchemshwa ili zisiishe.
10. Kucheza umeshikilia kaptula sababu lastic imeisha.
11. Kuchonga penseli kwa meno.
12. Kukata ndala ili uwe ufutio.