Mkuu nakubali kwamba umeleta kitu humu, ila watu walishatumia, ndo maana nikasema nasubiri ambayo haitahitaji kuscan simu.
Mbona hili lilikuwaga swala la zamani sana....
Hapana si kipya, labda kwako kipya. Mimi natumia zaidi ya mwaka sasa.
Ila wenyewe wanadai wame-Introduce their new desktop app. Inakuwaje wahusika waseme mpya wewe useme ya zamani? Ndo sielewi hapo.
Huwa natumia BBM sijawahi kuwa interested na WhatsApp. Nipeni darasa.
Nimezungumzia hapo juu kuwa mleta mada kakosea kwenye maelezo yake wkt wa ku translate, wenyewe wameandika app kwa maana ya application ila yeye mleta mada kwenye post nzima hajaweka neno app, badala yake ameweka whatsapp web kitu ambacho kipo mda mrefu sana. Walichofanya sasa ni kutengeneza application ambayo itakuwa installed badala ya kutumia web browserWenyewe wenye nayo wanakwambia wame-Introduce their new desktop app halafu wewe mtumiaji unatuambia ilikuwepo zamani sana.
Unaweza kufafanua mkuu?
Hadi leo umeganda na BBM, wengine hadi tumesahau hiyo kitu kutokana na mapinduzi ya Android.Ila wenyewe wanadai wame-Introduce their new desktop app. Inakuwaje wahusika waseme mpya wewe useme ya zamani? Ndo sielewi hapo.
Huwa natumia BBM sijawahi kuwa interested na WhatsApp. Nipeni darasa.
Wewe ulikuwa unatumia WhatsApp web, hii walio introduce sasa hivi huitaji kufungua browser bali desktop app na inafanya kazi kama WhatsApp web ila imeboreshwa zaidi kwani unaweza kutuma docs na video as attachment.Labda wali release trial version na sasa ndiyo wameamua ku i introduce officially or any other reason. Mimi ninaitumia siku nyingi sana lakini kumbuka version nnayoitumia mimi ni mpaka simu yangu iwe connected na computer via WiFi. Sasa hii mpya labda ipo vingine. Who knows?
Hadi leo umeganda na BBM, wengine hadi tumesahau hiyo kitu kutokana na mapinduzi ya Android.
Unamaanisha nini wakijaa? Hata sasa kuna app nyingi za instant message kama imo, Viber, telegram na nyinginezo lakini mbona hatujauliza kwanini hatuhamii huko? It's all about convenienceWazungu wanahalalisha matumizi ya tiGo.
Kwa muktadha wako, baada ya miaka kumi wakijaa huko utahamia kwenye hayo mapinduzi?
Unamaanisha nini wakijaa? Hata sasa kuna app nyingi za instant message kama imo, Viber, telegram na nyinginezo lakini mbona hatujauliza kwanini hatuhamii huko? It's all about convenience
Kila la kheri, ngoja wadadisi tuendelee kufanya explorationMimi hiyo WhatsApp haijanishawishi mkuu. BBM ina kila kitu ninachokihitaji.
Maisha ni kuchagua. Mimi nilichagua BBM.
Kila la kheri, ngoja wadadisi tuendelee kufanya exploration
Na hapa ndio ambapo sijaona msaada wowote wa app yaoNakubali kwamba hii ni app mpya, na haitumii browser. LAKINI.... Functionality ni ileile ya whatsapp web. Ni lazima kuscan qr code na ni lazima simu yako iwe online pia.
Soma hapa vizuri " . Like WhatsApp Web, our desktop app is simply an extension of your phone: the app mirrors conversations and messages from your mobile device. "