whatsAPP

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,681
Reaction score
14,017
Wakuu eeh,mi nina shida moja kubwa,whatsapp yng kila baada ya mwezi mmoja inaexpire,so inanibidi niidownload upya,kitendo hki huwa kinanikera sana wakuu,naombeni msaada kama kuna uwezekano nidownload whatsapp ambayo haitahitaji update za mara kwa mara
 
Unatumia simu gani??


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Nami pia imenitokea, natumia NOKIA X
 

Ninaamini watakusaidia.

Mimi napata shida kudownload whatsap for PC, mwenye msaada tafadhali.
 
Hata mimi ninashida sana na hii kitu, inakera.
 
Me hata kudownload imekataa. Tecno p3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…