WhatsApp+

WhatsApp+

Kalunde James

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
76
Reaction score
7
Hi!! Jaman haka katecno kangu P5 nikafanyeje ili kaweze kusupport whatsap plus????
Kama ku-uninstall ile orignal whtsp..nshafanya then nktaka ku-install ss hii plus kanaandka ''×App not installed. An existing package by the same name wth a conflicting signature is already installed''
Msaada plz!!!!
 
Salaam ukiwa msomi kidogo tu mambo ya IT utajua la kufanya labda nikusaidie kidogo kwanza kabisa futa whatsap halafu ingia katika file foder limeandikwa my file utakuta folder limeandikwa WhatsApp pia hilo file lifute kabisa. halafu Zima simu uwashe tena. ukisha washa sasa install Orignal whatsap ingiza namba yako halafu fanya chati na mtu wowote kidogo lazima na yule mtu akujibu chochote. baada ya hapo futa whatsap original halafu ndio install whatsap plus lazima namba yako ile ile usibadili. Nashukuru
 
Duh!!! Ngoja nfanye mkuu!!
 
Hi!! Jaman haka katecno kangu P5 nikafanyeje ili kaweze kusupport whatsap plus????
Kama ku-uninstall ile orignal whtsp..nshafanya then nktaka ku-install ss hii plus kanaandka ''×App not installed. An existing package by the same name wth a conflicting signature is already installed''
Msaada plz!!!!

Punguza uandishi wa wa facebook utaheshimika
 
Back
Top Bottom