......nilidhani unatoa salam kwa kingereza cha kimarekani kumbe.......ngoja waje ma-IT watakujibu.niaje wakuu wa kazi naombeni ufafanuzi kuhusu whatsapp inaweza kukubali kwenye nokia 6300?
maana nimejaribu kudownload imekaa labda kuna yeyote ambaye alishajaribu kuidownload kwenye hiyo simu anisaidiie link
Yes it works with symbian too..
it only depend on the version of your symbian ..
Download here WhatsApp for Nokia S60
Yes it works with symbian too..
it only depend on the version of your symbian ..
Download here WhatsApp for Nokia S60
Mi nna nokia X2-01 ipo kwenye list yao lakini baada ya kudownload nikitaka kuingia, inanipa msg 'could not connect to server error no.50'