Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

Duuuh Umetisha Mkuu ,Nilikuwa natumia GBwhatsapp ikaja kupigwa PIN namba yangu ila nilivyoweka hii imekubali inapiga mzigo now....👊👊👊
Yeah sure mkuu!

Hili jiwe kila likidai update wewe lipe usilicheleweshe utadunda nalo maisha hao official hawawezi kukupiga umeme nina uzoefu nao.
 
Kama jinsi mods wanavyopiga ban watu wanaokiuka miiko ya humu ndani basi vivyo hivyo whatsapp nao walisema watawala vichwa wote wanaotumia version feki za whatsapp.
Tena walitangaza kabisa na kuna mwamba humu alileta uzi wa tahadhari kwa wote wanaotumia whatsapp feki wajisalimishe kwa maki zubegi lakini mkakaidi.

Cha kufanya jiunge whatsapp kwa namba nyingine hiyo ishapigwa bann na hamna kitu utamfanya tajiri mark zubegi.
 
Hivi wakuu je inawezekana simu moja yenye line mbili ikawa na accounts mbili za WhatsApp yani kila line na WhatsApp yake?
 
Whatsapp official wana option ya acc. 2 kwa sasa, nenda kwenye vidoti 3 kuna option ya add another acc.
 
Hivi wakuu je inawezekana simu moja yenye line mbili ikawa na accounts mbili za WhatsApp yani kila line na WhatsApp yake?
Simu moja inabeba WhatsApp moja haijalishi iwe na lain ngapi..
 
Back
Top Bottom