WhatsApp will terminate this soon...

WhatsApp will terminate this soon...

Hao WhatsApp mbuzi kweli. Juzi tuu nilikuwa natumia nokia S40 wakasitisha huduma kwa simu hizo. Nikahamia android na sasa wanataka kusitisha android 2.2. Laiti kama apps nyingine nao wangefanya hivyo basi tungekoma kubadili simu kila siku ili kukidhi matakwa yao.
 
let make this page the most powerful high tech Info's...
 
Hata mm kuna s60 Nokia wamesema wataikatishia service end of this year.
 
Back
Top Bottom