Whatsapp Inalipiwa, kwa watumiaji wa simu za IOS hawawezi download bure, Ila kwa watumiaji wa Android wanapata mwaka mmoja wa matumizi bure. Kisha baada ya hapo kuna charge ya 0.99$/year.
Ok, I didnt know that. But subscription fee ipoWhatsapp ni bure hata kwenye ios.. Labda useme hiyo subscription ambayo ni kwa wote.