WhatsApp waja namuonekano mpya

WhatsApp waja namuonekano mpya

Naona lengo lako ni kutuambia una rafiki Norway, acha ushamba. Haya tuambie huyo Nill ni wa kike au wa kiume?
Mbona unaleta ushamba wako wa Itilima hapa! huyo Norway ni jina la mtu au hujui Kuna Njombe na Filikunjombe maana zikiwa tofauti.
 
wamenifurahisha hii feature ya End to End. hapa hakuna cha tcra wala cybercrime kudadeki!
 
Back
Top Bottom