FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,522
- 46,606
Kuna watu wengine ni wapuuzi sana.., yaani wanaweka WTF ndio iwe bure lakini kwa akili zao fupi hawaoni kabisa haja ya kukipa kitu cha nyumbani JF nacho kiwe bure walau kuonyesha Uzalendo kwa bidhaa hii adhimu ya JF..,tena ya kwetu sio ya kuletewa kama hiyo what the ----kweli hawa watu!. JF iwe bure vinginevyo nagoma tena!