FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,525
- 46,612
- Thread starter
- #21
mleta mada ni mpenda ofa, sasa nyie muacheni tu, soma hata majibu yake anapenda kulipiwa, mara JF bure eti ntagoma, kagome huko, sasa hivi tu watu wanatuharibia JF, zamani ukikuta kitu na ukakisoma unapata elimu, siku hizi pumba ukizisoma unapata ugoro.
Hii ni biashara wewe.., wakibaki watu wa kuchangia point tu cku zote tutapakimbia humu.., watu wa kuongea pumba kama nyinyi ni muhimu sana ili ku-balance mada.., tunatoa mada kidogo na nyie mnatoa pumba kidogo basi mambo yanakuwa SWADAKTA.., chawa eeh..