Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Whatsapp+ ina option ya ku-hide Last seen kabla official whatsapp hawajaiweka na hii nfo imeipatia umaharufu sana hii app...
Ni kweli inafanya kazi sawa na whatsapp ya kawaida lkn iko vizuri kuizidi whatsaap official maana unaweza pia kubadili muonekano(theme) wa whatsapp yako na kuifanya ya pekee na ya kuvutia
Mengine yataongezwa
kaka mbona nashindwa kuweka them kwenye hii whatapp+.nipeni maujanja