Kwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie ..
Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa.
Ni PM kama Unayo
nenda onhax.net utaipata
Mkuu nimeingia onhax nimechukua hii YoWhatsapp ila kuna feature moja ambayo nahitaji imekataa ku-work out.
Feature ya single tick nikisoma msg mtumaji aone bado haijafika.
Nime enable ila msg haziingii on time mkuu msg ya saa tisa imeingia saa 12 tena baada ya ku-disable hiyo feature kiongozi.
Naomba msaada kama kuna apk inayofanya kazi vizuri bila usumbufu mkuu.
Thanks In Advane.
Mkuu chukua gbwhatsapp nzuri.. Kuhusu feature ya second tick bado ni bugs kweny plus zote. Uki activate tu utachelewa kupata txt on time.. Hilo bado tatizo kote... Labda ufiche blueticks tu ndo mbadala.
Ooh okay thanks mkuu.
Nafkiri YoWhatsapp inaweza kuwa nadhani nimeona ina feature ya kutuma more than 10pics na pia unaweza kutuma upto 700mb at once.
Sjui labda kama una advice kwa iliyo the best mkuu.
Thanks a lot mkuu.
Nayo nzuri nliiona nikaijaribu.. Ila gbwhatsapp ndo nimeipenda hasa ile extended version .
Mkuu nimeingia onhax nimechukua hii YoWhatsapp ila kuna feature moja ambayo nahitaji imekataa ku-work out.
Feature ya single tick nikisoma msg mtumaji aone bado haijafika.
Nime enable ila msg haziingii on time mkuu msg ya saa tisa imeingia saa 12 tena baada ya ku-disable hiyo feature kiongozi.
Naomba msaada kama kuna apk inayofanya kazi vizuri bila usumbufu mkuu.
Thanks In Advane.
Mkuu kuna gbwhatsapp mpya hiyo unatuma hadi file ya GB1
Tutaipataje?
Ooh okay, hii itakuwa imetoka lini mkuu ?, Mi nimekuwa nikitumia hiyo YoWhatsapp nayo unatuma files kubwa pia nafkiri ni 700MB au 900MB hivi ila kuna feature ambayo gbwhatsapp haina mkuu kuna feature ambayo hata ukiwa una-chat na mtu mwengine lakini kama mtu yoyote akiwa online inakuonesha kwa juu pale kuwa fulani yupo online.Lakini feature nnayohitaji mostly ni hii ya kuficha 'tick' moja na ibaki "tick" moja hata ukifungua msg ukaisoma, still yule aliyekutumia msg anaona kwake kuna single tick akijua kuwa upo offline na msg yake haijafika still. Hii ndio feature nnayohitaji mkuu, niki-activate msg zinachelewa kufika hata lisaa lizima mkuu that's why nikauliza kama kuna app yenye hiyo feature kiongozi kcamp.Thanks buddy.Mkuu kuna gbwhatsapp mpya hiyo unatuma hadi file ya GB1
Ooh okay, hii itakuwa imetoka lini mkuu ?, Mi nimekuwa nikitumia hiyo YoWhatsapp nayo unatuma files kubwa pia nafkiri ni 700MB au 900MB hivi ila kuna feature ambayo gbwhatsapp haina mkuu kuna feature ambayo hata ukiwa una-chat na mtu mwengine lakini kama mtu yoyote akiwa online inakuonesha kwa juu pale kuwa fulani yupo online.Lakini feature nnayohitaji mostly ni hii ya kuficha 'tick' moja na ibaki "tick" moja hata ukifungua msg ukaisoma, still yule aliyekutumia msg anaona kwake kuna single tick akijua kuwa upo offline na msg yake haijafika still. Hii ndio feature nnayohitaji mkuu, niki-activate msg zinachelewa kufika hata lisaa lizima mkuu that's why nikauliza kama kuna app yenye hiyo feature kiongozi kcamp.Thanks buddy.
gbwhatsapp mbona inayo hiyo feature ya kushow walio online. ..
kuhusu kudelay baada ya ku activate feature ya kuhide second tick bado tatizo kwa mod zote za whatsapp...kikubwa ni kufuatilia updates mpya huenda itakua fixed.
ila jaribu ku activate ile feature ya always online then ndo ujaribu kuhide second tick..inaweza ikasaidia kidogo nahisi.
Ooh okay, let me try that one mkuu, nime-download hii uliyoeka hapa ngoja ni-install nifanye hivyo ulivyonielekeza kiongozi.Na ikiwa na transparent background itakuwa poa pia.Let me check it mkuu. Thanks buddy.gbwhatsapp mbona inayo hiyo feature ya kushow walio online. ..kuhusu kudelay baada ya ku activate feature ya kuhide second tick bado tatizo kwa mod zote za whatsapp...kikubwa ni kufuatilia updates mpya huenda itakua fixed. ila jaribu ku activate ile feature ya always online then ndo ujaribu kuhide second tick..inaweza ikasaidia kidogo nahisi.
Kiongozi, jaribu kuwa unasoma comments zilizopita vyote vimeelezwa hapo juu ndugu.Welcome.Mkuu nataka nione walio online kipindi na chart na mwingine
Mkuu nataka nione walio online kipindi na chart na mwingine
Ooh okay, let me try that one mkuu, nime-download hii uliyoeka hapa ngoja ni-install nifanye hivyo ulivyonielekeza kiongozi.Na ikiwa na transparent background itakuwa poa pia.Let me check it mkuu. Thanks buddy.
Kwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie ..
Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa.
Ni PM kama Unayo