Whatsapp Now Is Available For Nokia Asha Dual Sim

Whatsapp Now Is Available For Nokia Asha Dual Sim

Nashangaa kwanini isiwepo ya iPhone mpaka sasa. Lakini huenda wakaitoa....ila ashangaa
yeah,
itatoka soon,
stay put na iphone yako.
utaanza enjoy wassup si mda
cc: tumlack
 
Last edited by a moderator:
I phone zinasupport kama una i phone 3g update it tu version 4.2 na kuendelea even i pad inasupport whats up lakini sharti iwe jailbroken one natumia whats up i pad 2 and it works great but kumbuka both model 3g and wif zinasupport baada ya kujilbreak i pad nenda cydia add source inayoitwa whatspad they connect i pad kwenye i tune drag whats up to ur i pad kumbuka ni 0.99$ whats up inauzwa kwenye apple store so tafuta mtu yeyote aliyewahi inunua zen iingize kwenye i pad kupitia i tune yake dats all
 
achana na hyo nokia asha chukua k2 techno p3 zinalingana bajeti na asha uachekuulizia v2 vidogovidogo humu
 
Back
Top Bottom