WhatsApp Messenger Working Version Kwa wale ambao zao zime zingua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WhatsApp Messenger Working Version Kwa wale ambao zao zime zingua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by networker, Mar 2, 2012.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kwa wale abmao WhatsApp zenu zimezingua iwe blackberry,android,S60 tembelea hapa Tz downloads nime download ya nokiaS60 imekubali kufanya kazi bila kuletewa ile message ya This version is old
   
 2. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jamaa watakuwa wameweka version mpya..kwa kawaida whatsapp wakiupdate version huwa wanawatumia watumiaji wake kuwa version walizonazo ni old so hawataweza kuzitumia vizuri so waupdate..mimi ni mtumiaji wa whatsapp na nimekuwa nikipata hiyo message kila wanapoupdate version zao ili namimi niweze kuupdate. Kama hiyo ya hapo juu imekubali but inamaanisha jamaa wanalatest version ya whatsapp.
   
 3. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  [h=1]Wana JF naombeni msaada nikitaka kudownload hii whatsApp messenger au program nyingine kwenye hiyo website ya TZ downloads napata message hhi hapa chini. Nifanyeje niweze kudownload?


  ERROR[/h][h=2]The requested URL could not be retrieved[/h]

  [HR][/HR]The following error was encountered while trying to retrieve the URL: DataFileHost
  Access Denied.
  Access control configuration prevents your request from being allowed at this time. Please contact your service provider if you feel this is incorrect.
  Your cache administrator is webmaster.


  [HR][/HR]Generated Fri, 02 Mar 2012 01:06:47 GMT by gw2 (squid/2.7.STABLE7)
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,804
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  Ina maana hiyo web ni bora kuliko ovi na homepage ya watsap?
   
 5. networker

  networker JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  umeona neno bora hapo au wenge linakusumbua chaliangu.kwanini unanunua sukari dukani ina manisha hilo duka ni bora kuliko kiwanda cha sukari.Tumia akili Nlikuwa na kuona mtu poa sana lakini hiyo comment yako yakiboya sana sela
   
 6. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,388
  Likes Received: 3,518
  Trophy Points: 280
  ivi hakunaga Jar version ya whatsapp? c wengine ni non-symbian,non-android,non-iphone n none-blakaberi
   
 7. danione

  danione Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NAOMBA KUULIZA Iyo program kwenye IDEOS U8150 inaingia au Haifai
   
 8. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inakubali mkuu. Ingia kwenye market then search whatsapp afu download,fanya registration then you are done.
   
Loading...