Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
- Thread starter
-
- #21
Ingekuwa unaruhusu PM ningekuja na solution nzuuri kabisa ambayo ingekuondolea stress but naona umesema kabisaa Frobidden,Illegal basi ngoja nikanywe Cappucino sasa
Mkuu kumpigia demu mwengine kumkanya haisaidi wakati mume ndio fisadi,atajushushia hadhi ya mke bure yeye akomaeKama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.
Once a cheater always will be,
Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??
Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.
Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??
Pole sana dada.
Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.
Thanks tian unajua kuna wakati mungu anaamua kukuonyesha kitu ,,,sijawahi kupekuwa simu ya baba watoto ila siku hiyo nilipekuwa na nikasema sirudii ingawa tayari nimeshajua mume wangu si mwaminifu..na ameniumiza sana
mtu hujari hata mogonjwa?
Ladies and Gents habari za siku nyingi.
nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili
lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
@Egyps-women heri ya miaka mipya maana ni kitambo. Karibu na pole kwa hilo. Mie ninamtazamo tofauti kidogo ambao pengine mtanishambulia lakini karibuni. Mimi nadhani sio sawa kutilia mkazo sana kwenye haya ma-Whatapps sijui manini, huwezi kuitumia ile kama ndo kithibitisho cha kuwa mumeo anacheat kisa umekuta anachati mbambo ya mapenzi kwenye simu (pamoja na kuwa ni aina mojawapo ya cheating). Nasema hivyo kwa sababu watu wanawezachat mambo ya ajabu sana na mtu ambaye hata kuonana hawajawahi kuonana lakini katika chat mtu akajikuta wameshavuana na nguo kabisaaa kiWhatsap, whatsapp. Ni makosa ndio lakini ni wangapi wanaelewa kuwa hii nayo ni aina ya cheating? Wengi huwa wanachukulia kuwa ni kiondoleo cha stresses (hasa pale anapoanza na kabla hajafikia kukengeuka kabisa) na kutanabai tayari mtu ushakuwa addicted. So ninakuomba ukae chini na shemeji ongea naye, mweleze unavyoumia na kuwa kama haelewi ile ni aina mojawapo ya cheating ..... mwambie mume wangu hii ni aina moja wapo kama sio kichocheo cha kucheat please acha. Usivunje ndoa kwa sababu ndogo kama hii.............. ukitaka ujue umuhimu wa ndoa, achika.
kuaminiana kwa style hiyo jamani siku moja unashangaa gonjwa limeingia ndani lilipotokea aaah tulikuwa tunaaminianadunia ina hama siku hizi, na ndoa nyingi zinafungwa wakati wa digital, kwahiyo ndoi nazo pia ni digital, cha msingi ni matumizi sahihi ya hiyo mitandao, pole kwa kuumia ila simu ya mkeo/mumeo usipende sana kugusa jamani, muaminiane mtafika mbali, kwanini mnapenda kumkaribisha shetani? tuifanye kila kitu kwa kiasi.
Mamito za siku nyingi ni heri sana nashukuru mungu na pia asante kwa ushauri mpendwa wangu vip za kwako Dear
Kilichonishitua kwenye wasapu hii ni pale mdada alipokuwa anamuuliza utakuja lini pande hii na yeye kumjibu sasa niko kwa Family ila tutaonana tu hapo kweli si kuwa muzee anachit?
kuaminiana kwa style hiyo jamani siku moja unashangaa gonjwa limeingia ndani lilipotokea aaah tulikuwa tunaaminiana
haya ndugu asante kwa advice