reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,945
ahaaaa, kumbe ndio maana lumia zinauzwa kwa kasi hiviii, halafu hio android ya 2.3.7 Nani anatumiaa? Hata 4.4.4(kitkat) au hata lollipop 5.1.1 naona ni wachachee, window phone nazo ni chachee, iphone 4 nazo ni wachache.
kwa ufupi itawagusa watumiaji wachache sanaa.
kwa ufupi itawagusa watumiaji wachache sanaa.