Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Utakuwa hujaelewa! Maana hadi sasa ni ngumu kukuta mtu ana simu yenye android 2Nimesoma na kuelewa, ila nimejibu navyotaka mimi sio inavyo takiwa
Utakuwa hujaelewa! Maana hadi sasa ni ngumu kukuta mtu ana simu yenye android 2Nimesoma na kuelewa, ila nimejibu navyotaka mimi sio inavyo takiwa
Mabeberu wanatuogopa ! [emoji576]
Kwa hiyo sisi wenye simu zinazotumia hiyo mifumo tutazipeleka wapi!?
Kama umeamini sijaelewa sawa mkuu.Utakuwa hujaelewa! Maana hadi sasa ni ngumu kukuta mtu ana simu yenye android 2
Hakuna updates za iPhone 4 kwenye Apple store.Mkuu hivi iphone 4 inatimia ios ya ngapi??
Maana ninataka kuinunua ili iwe kama simu ndogo
Ndiyo shida ya kuwa na account then anaona akipita bila kuandika kitu atadharaulika.Umeelewa Lakini Au Ndio uzembe wa kusoma