Whatsapp ktk iPhone jaman

Sammy-a88

New Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Natumia iPhone 4s na ipo na latest version of its OS ver 6.1 lkn whatsapp nashindwa kuinstall, inataka $0.99.
Is there any means of getting it free?
 
Nunua tu haizidi 2000 tena ya kulipia itakuwa nzuri kuliko za bure
 
Thanks for such advice, 2000 cash isn't a problem, the challenge is $0.99
 
Natumia iPhone 4s na ipo na latest version of its OS ver 6.1 lkn whatsapp nashindwa kuinstall, inataka $0.99.
Is there any means of getting it free?
ukishindwa kununua kilichobaki ni kuJailbreak iPhone yako alafu instal whatsapp manually..ingia google tafuta namna ya kuJailbreak na kuInstal cracked applications kwenye ios..
 

Attachments

kwanini usinunue? tumia credit card!! au tatizo ni nini hasa?.....
 
Uko pande za wapi ili nikusaidie kununua hiyo kitu kwa kutumia account yangu ambayo natumia credit card kununua hizo applications,wala asikudanganye mtu kujailbreak hiyo simu maana itakusumbua sana itakapofika wakati wa kuupdate ios,nakwambia hivyo kwa sababu natumia hiyo simu na hicho kitu nimeshawahijaribu,jailbreaking ni kwa simu za 3G ndio huwa hazisumbui sana.
 
Natumia iPhone 4s na ipo na latest version of its OS ver 6.1 lkn whatsapp nashindwa kuinstall, inataka $0.99.
Is there any means of getting it free?
Uko pande za wapi ili nikusaidie kununua hiyo kitu kwa kutumia account yangu ambayo natumia credit card kununua hizo applications,wala asikudanganye mtu kujailbreak hiyo simu maana itakusumbua sana itakapofika wakati wa kuupdate ios,nakwambia hivyo kwa sababu natumia hiyo simu na hicho kitu nimeshawahijaribu,jailbreaking ni kwa simu za 3G ndio huwa hazisumbui sana.
 
Hivi whatsApp kuna baadhi ya nchi inauzwa? Hapa Japan ni bureee!
 
Mimi pia nilinunua. Lakini siku hizi kuna mambo ya Tembocard/ mastercard huko Tanzania unaweza kununua online. Unafuata maelekezo kisha unatoa details za card yako ya bank wanakata moja kwa moja. Au tembelea tawi la bank kwa msaada zaidi
 
Thanks for advice guys, now it works coz nimeijailbreak and now chombo kipo bomba kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…