Whatsapp Is Not working

Iko poa now ila kuna alert nimepata now kwamba expiration date imekwisha ila wameniongezea muda mpaka March 25, from hapo nitakuwa nalipia.
Sijui kuna mtu amepata hii msg
 
Iko poa now ila kuna alert nimepata now kwamba expiration date imekwisha ila wameniongezea muda mpaka March 25, from hapo nitakuwa nalipia.
Sijui kuna mtu amepata hii msg

Kwani ulidownload bure? Mi nakumbuka nlilipa $0.99 huenda sasa itatakiwa ulipie kwa mwaka ila sio pesa nyingi
 
tulieni LE walikuwa wanachoeka abackdoor yao bana, nyie vipi hamjui sasa hivi mmeshaolewa, mnalala na chupi za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…