WhatsApp inapoteza sana muda

Ukiwa busy huwezi jihusisha na huo ujinga. unakuwa na magroup ya watsap na watu wapuuzi mtu hata akiona mtu kasinzia kwenye daladala anapiga picha mnaanza kutumiana na kujadili kwann usipoteze muda hapo? kuna magroup yapo strictly sana. huwezi kupeleka story zako za kitoto unafurushwa naramoja. ati unakunywa bia unatuma kwenye group wewe
 
Mi sipo hilo kundi la vibwengo mpenyezo
 
Mimi MT4 NA MT5 zinachukuwa muda wangu hdi wa kula na kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…