WhatsApp Imefanya maboresho Sehemu ya Backup

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
c8d76d845753ba67bcb81f1841694120.png
Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika chats na calls za WhatsApp tu. Wahuni na hackers wakitaka kuchunguza chats zako walikuwa wanatafuta file la backup kwa sababu hilo file sio encrypted.

Hivi karibuni WhatsApp imeweka uwezo wa encryption katika file la backup. Hapo mwanzo ilikuwa sio salama kwa sababu file la Backup linaweza kutumika kugundua chats zako zote, Apple, Google au mtu akipata file la backup walikuwa na uwezo wa kuona chats zilizohifadhiwa katika chats za Backup.

๐ŸŸข ๐—œ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ; ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐˜๐˜๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ > ๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐˜ ๐—•๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ, ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฐ๐—ฟ๐˜†๐—ฝ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป.

Baada ya kuwasha, itafanya backup upya katika mfumo mpya wa kutunza files ambao hakuna yeyote duniani ambaye ataweza kuona chats zako mpaka awe na password yako uliyoweka au Key yenye herufi na namba zenye tarakimu 64.

๐Ÿ”ด #Tahadhari Ukipoteza Key au Password yako utapoteza chats zako zote kwa sababu hakuna anayeweza kuona Key yako ya Encryption, hata WhatsApp yenyewe haiwezi kufahamu chats zako na kuzirudisha.
 
Sisi watumiaji wa unofficial WhatsApp inakula tu kwetu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom