Whatsapp Hide your number

In principle Whatsapp haitegemei number ya mtandao wa simu bali code number ya simu handset
Ndio mtu akichukua hiyo code yako akaingiza kwenye simu yake, message zako zote zitaenda kwake.
Be careful!

Mkuu hebu nieleweshe vizur hapa, hiyo code no ya simu ni ipi, naijuaje! Na mtu kama ashanifanyia hivi, msg zinaenda kwake nitafanyaje kumstop? Na je msg kama zinaenda kwake na kwangu zinakuja??
 
Weka kwa kiswahili maana kuna vipengere vigumu kueleweka japo vinatafsirika.
 
Senki yu vere mache tirabo shuta,yu givu me vere vere edukesheni oni ze wasapu,godi bulesi yu,nawo akeni availabo wizouti my rili.
 
Mkuu hebu nieleweshe vizur hapa, hiyo code no ya simu ni ipi, naijuaje! Na mtu kama ashanifanyia hivi, msg zinaenda kwake nitafanyaje kumstop? Na je msg kama zinaenda kwake na kwangu zinakuja??

Hiyo code ipo kwenye kila simu inatwa phone's Media Access Control (MAC) address au Wi-Fi Address
Hutaweza kumzuia kipindi hicho mpaka number yako irudishwe tena kwenye simu yako. Njia ya kujua au ukiwa na wasiwasi mtafute mtu akutumie message kwenye Whatsapp. Then muangalie kama itaonyesha kuwa imekuwa delivered na kusomwa wakati wewe kwenye simu haijaingia.

Mkuu kama upo vizuri lugha ya malkia fuata hii link:

http://www.wikihow.com/Access-Someone-Else%27s-WhatsApp-Account

In principle Whatsapp haitegemei number ya mtandao wa simu bali code number ya simu handset

Ndio mtu akichukua hiyo code yako akaingiza kwenye simu yake, message zako zote zitaenda kwake.

Be careful!

You have a point here. Na ndio maana hata ukitaka kutumia WhatsApp Web they don't ask for your mobile number. Wanacopy phone code electronically and that's it.
 
You have a point here. Na ndio maana hata ukitaka kutumia WhatsApp Web they don't ask for your mobile number. Wanacopy phone code electronically and that's it.

Kweli Mkuu - ndio maana hata ukibadili simcard tena ya nchi nyingine kabisa, Whatsapp inaendelea kufanya kazi!

And this brings us to another important issue. Kugawa simu baada ya kuichoka. Mtumiaji mpya ataendelea kupokea message zako!
 
Fanyen kazi nyinyi mnaboa!!

Ndio maana wanasema "WhatsApp groups are for jobless pips"....! Hasa zile groups za kupiga umbea 24/7. Japo zipo groups zinajenga hasa za ndugu na familia....otherwise its wastage of our precious time.
 
Kweli Mkuu - ndio maana hata ukibadili simcard tena ya nchi nyingine kabisa, Whatsapp inaendelea kufanya kazi!

And this brings us to another important issue. Kugawa simu baada ya kuichoka. Mtumiaji mpya ataendelea kupokea message zako!

Mbaya zaidi mkuu, naamini 95% ya watu hawalijui hilo. Kuwa ukigawa simu kama zawadi basi meseji zako bado zitasomeka, licha ya kuwa umeondoa sim card yako....!
 
Mbaya zaidi mkuu, naamini 95% ya watu hawalijui hilo. Kuwa ukigawa simu kama zawadi basi meseji zako bado zitasomeka, licha ya kuwa umeondoa sim card yako....!

Nimepata ufafanuzi mkuu. Ni kweli Whatsapp haitumii number ya simu bali code or Wi-Fi Address ya simu. All the same, Mtandao wa Whatsapp una register number ya simu pamoja na hiyo code. Na wanasema haiwezekani number mbili za simu kutumia the same code kwenye network ya Whatsapp kwa wakati mmoja.

kwa maana hiyo, kabla ya kugawa simu ya zamani, hakikisha unaanza kutumia Whatsapp kwenye handset mpya. Network ya Whatpsapp ita-register that new code na kufuta ya zamani.
 
?.....we bado sana!uko darasa la ngapi kwani?
 
Hili hata hatuhitaji kukuona,sababu hii ni ku download software tu na kuweka namba ya nchi unayo yata wewe.
 
Mambo ya Google Translate hayo...
 
Asante mkuu, nimeridhika na maelezo
 
Sifa za kijinga uonekane unajua Kizungu kumbe ni bure kabisa ......

English is not my native language i try my best to learn it as you know this is international language so never mind if this is ur first language congaduration....!
 
kwani nimewalazimisha?? hii ni democracy sio lazima tuweze vyote pay to get or learn something.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…