Whatsapp group Admin nimeblokiwa nifanyeje?

Whatsapp group Admin nimeblokiwa nifanyeje?

kumbe ndo wewe umekuja huku JF hahahah sitoi uadmini kaka ndo baibai hiyo na nmeongeza raia wapya tunakula gud time!
 
Jamani polee, inakubidi uanzishe jingine tu
 
Nimecheka sana.

Kuna ka whatsapp group kangu, tupo kama 30+

Admin nilikuwa mimi tu, nikapanda ndege na huko nikawa natumia simcad nyingine, kama Miezi mi6 hivi.

Kurudi nikabadili kila kitu, simu na kurenew ile namba niliotengenezea whatsapp group.

Cha ajabu contacts na baadhi ya magroup yamerudi, lakini group hili halikurudi kamwe.

Members wananiona kama admin lkn sina access na group na hivo wapo bila ya admin na kumueka admin mwingine hawawezi. Pole sana mtoa mada!
 
Msaada jamani ; nilifungua group language LA whatsapp LA miziki na kulitangaza vizuri tu likawa maarufu Niliweka maadimini kadhaa kulingana na mahitaji lakini kilichonishangaza kuna siku nimeingia kwenye grupu na kujikuta Mimi sio admini tena na adimini ni mmoja tu na maadimin wote wametolewa kabaki jamaa mwingine na nikimwabia mbona umenifanyia hivi anasema mpaka nimfungulie group lingine nimuadd kuwa admin ndipo anirudishe kuwa admini na Mimi nifanyeje ili niweze kumuondoa huyu jamaa?
simpo mkuu tafuta member ambaye yupo kwa group ambaye ni mtu wako ...ingia kwa group,fanya kama unatuma text ..weka emoji elfu moja then tuma ..,matokeo group litakufa kabsa....utamu ni kwamba mtakosa wote .....
 
M
simpo mkuu tafuta member ambaye yupo kwa group ambaye ni mtu wako ...ingia kwa group,fanya kama unatuma text ..weka emoji elfu moja then tuma ..,matokeo group litakufa kabsa....utamu ni kwamba mtakosa wote .....
mkuu ukitumia simu itakubali mkuu?
 
Easy!! Wasiliana na mamlaka ya mawasiliano (TCRA)!! Waeleze ilivyotokea na watachukua hatua....lazima watakupa uadmin wako na yule mshenzi atakomeshwa na kuwajibishwa...!! Pole sana mkuu
hhahahahahahahahaha
 
Hahahahahahaaaa noma sana....naona wamekupindua kwenye kiti.
 
Back
Top Bottom