Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,381
Jamaa mmoja nchini Nigeria ametapeli wanachama wa group la whatsupp alilolianzisha kiasi cha dola za Marekani 2000 na kulifunga group kwa kuwa remove wanachama wote kwa wakati mmoja na kulifunga group baada ya kujipatia hicho kitita cha pesa.
Kijana huyo alianzisha group na kulipa jina la Togetherness, ambapo wanachama walitakiwa kuwekeza kiasi cha fedha na kupata mara mbili yake ndani ya saa 48.
Kwa mujibu wa mwanachama wa group hilo aliayepatwa na utapeli huo alisema kwamba kijana huyo alianzishas group hilo na kulitangaza kwenye mtandao wa facebook kwa kuweka link ili watu wajiunge na kutoakana na akili za watu wahache kupenda kupata pesa za haraka haraka bila jasho walichangamkia hiyo fursa ambapo wengi waliwekeza kiasi cha fedha wakisubiri mavuno baada ya saa 48, mavuno ambayo hawakuyapata zaidi ya kutapeliwa.
Inasemekana kijana huyo alisuibiri mpaka group likapata wanachama wa kutosha na makusanyo ya fedha ya kutosha ambapo pia alimudu kuwashawishi wanachama wengi zaidi wajiunge kwa kuwekeza fedha japo kidogo ili wapate dabali ushawishi ambao ulizaa wanachama 200.
Siku mbili baadaye wanachama wakisubiri kuvuna mafao yao dabali walishangaa kuona wanakuwa removed mmoja baada ya mwingine na namba ikawa haipatikani.
Hili ni funzo kwetu sote.
JTownConnect Nigeria: Admin shut down Ponzi WhatsApp group after over 200Memebers PH of 3k each to him