Whatsapp for web

Whatsapp for web

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Hivi ndivyo whatsapp for web inavyoonekana. kwa kutembelea https://web.whatsapp.com/ , na utahitajika ku scann QR code kwa kutumia simu yako.

whatsappweb.JPG

whatsappweb2.JPG
 
Mkuu ymollel nahitaji sana kutumia haya maujanja kupitia simu PC yangu, naomba nisaidie nianzie wapi!
 
Last edited by a moderator:
vipi kwa iphone mbona hamna hyo kitu:confused2::typing:
 
Mkuu ymollel nahitaji sana kutumia haya maujanja kupitia simu PC yangu, naomba nisaidie nianzie wapi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ymollel nahitaji sana kutumia haya maujanja kupitia simu PC yangu, naomba nisaidie nianzie wapi!

Wala haihitaji cha ziada zaidi ya internet,browser na simu yenye account yako ya whatsapp
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale ambao hawajaelewa hii inakuwezesha kutumia whatsapp kwenye PC yako, bado inabidi uwe na WhatsApp kwenye simu na inabidi iwe hewani wakati unatumia so ukizima simu au usipokuwa na data kwenye simu hauwezi kutumia WhatsApp kwenye PC yako.

Implementation yao ni ovyo kusema ukweli na hii requirement ya kuwa hewani kwenye simu.
 
Nimekupata vizuri
 
Mkuu je endapo nita unistall whatsaap ktk simu kisha kila istall tena, bado itaendelea kufanya kazi ktk PC? Au itabidi ni scan tena kwa mara nyingine?
 
Back
Top Bottom