Whatsapp for Nokia x2-02

Whatsapp for Nokia x2-02

Davies Davies

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Posts
118
Reaction score
12
Wadau naomba mnisaidie natumia simu haina ya nokia x2-02 lakini nikitaka ku install whatsapp inagoma
 
Wadau naomba mnisaidie natumia simu haina ya nokia x2-02 lakini nikitaka ku install whatsapp inagoma

.
Kila siku mnaambiwa X2-02 CANT RUN WHATSAPP HATA HAMUELEWI SIJUI TATIZO NIN
.
.
.
 
ninatumia Nokia x2-02 na whatsapp natumia bila tatizo lol.ote lile
.

.
hizi ndo s40 zinazo support whatsapp kwa mujibu wa nokia

Nokia C3-00 / C3-01 / X2-00 / X2-01 / X3-02 / 201 / 300 / 302 / 303 / 306 / 311
 
  • Thanks
Reactions: y-n
x2 zote zinatumia whatsapp cha msingi utumie mtandao unaoweza kurun faster hiyo application wakati wa installation
 
x2 zote zinatumia whatsapp cha msingi utumie mtandao unaoweza kurun faster hiyo application wakati wa installation

So kweli #Jipu
Ninayo Yangu x2-05 imekataa kabisa ku-install hadi imenilazimu ninunue galaxy.
Sio x2 zote zinaingia watsup
 
Back
Top Bottom