Hbr wadau
Simu yangu ni Nokia c3
Tatizo ni kwenye Whatssap ukifungua ina andika hiv This copy of Whatssap has expired .Please click upgrade to start the upgrade process nki ponyeza upgrade inakuja no service au link not available msaada tafadhali
Hapa sioni unstall bali naona delete nisaidie kwa procedure
Nilikuwa natumia whatsapp lkn nikatakiwa ni update coz version niliyokuwa natumia ilikuwa too old,nimedownload mpya lkn niki install inakataa na inatoa msg hii,"Parse error.
There was a problem parsing the package.
Unaweza kunisaidia?
Natumia Tecno M3.
nimeipata ila nimekumbana na tatizo la ''unable to start'' please naomba solution.
Mkuu bila2 hiyo link naingizia wapi ili niweze kudownlod
Download Kwa Kutumia Simu Nyingine.. Halafu Uiunzip Kwenye Computer Copy Kwenye Memory Card Ya Simu File Mbili Jad na Jar Nje Ya Folder Ukifungua Kwenye Simu Jad Na Jar Zinaungana Inakuwa Whatsapp na Icon Yake Halafu Unaicopy Kutoka Kwenye Memory Kwenda Kwenye Moja Kati Ya File Za Simu Yako Either Games Or Application Halafu Unaifuta Kwenye Memory Card Then Hauifungui Kwanza Unaenda Option Unaupdate Version Ikimaliza Ku Update Niambie Nikuelekeze Jinsi Ya Kupanga Namba...
#Rakims