mm ninashindwa kudownload watsap messenger ktk simu ya android, kila nikijaribu ni ISUFFICIENT MEMORY msaada please
Nina Nokia E61i hii inakubali whatsapp?,if no nifanyaje ili ikubali ?View attachment 170801
Sent from my iPhone using JamiiForums app
ingia hapa http://likefake.com/ utazipata hadi utazikimbia...
Hizi website zipo kibao lakin zinazingua tu nimechek.video youtube sielew chochote labda kupata likes insta nimeweza kuchakachua ila hii no naihtaj direct website isiyo na.complication hii mambo ya kufanya survey sjui access token nyingine ngumu
Hiyo url ya kuweka ndo ipi mkuu
Sema hauwezi lakini inawezekana vizuri sana hauna ujuzi huo usipotoshe.tumia site hzo juu nilizitoa..
Mkuu hiki kitu inawekana kabisa hata mimi pia natumia whatsapp mbili kwenye simu mmoja.Mkuu nina simu ya laini mbili, nataka zote ziunganishwe na whatsapp. Nifanyeje? Ahsante
Inagomaje mkuu embu toa maelezo ya kutosha, simu yako ni itel ngapi?