sasa ndugu hapo ishakwambia NONE SELECTED ina maana hujaweka
ipo hivi wewe hujaingiza kabisa google account kwenye simu yako au km umeingiza hujachagua cha kufanya bofya hapo hapo NONE SELECTED kama ipo google account select km bado hujaweka ADD new one km unayo ingiza km una fungua mpya then ADDD
ukiona inazingua ww juu pale kwenye backup chagua NEVER
Sent using
Jamii Forums mobile app