Sasa kwa mazingira hayo ukitumia viber itakuwa superior,. Try
Mi hata niliuninstal Viber mana nliona haina kazi kwangu
Mkuu, fanya uchunguzi, yaani viber kwenye internet ya kawaida iko powa. Tena whatsapp unaweza kumpigia mtu inaonesha inaita kwa muda hata dakika 2, na wakati unayempigia hata hayupo hewani. Na pia kusikilizana ni mpaka uwe kwenye net ya uhakika sana au wifi.
Viber ipo vizuri na bei ni Cheap Compared to Whatsapp
Vipi kwenye slow internet, kwa voice call
Vipi kwenye slow internet, kwa voice call