Whatsapp banned my number!!!!!

Whatsapp banned my number!!!!!

Mkuu umefanikiwa!?.. Usipanick fuata hizi steps, Ingia Playstore, halafu upande wa kulia juu kuna kiduara chaweza kuwa na herufi ya Jina lako kibonyeze, halafu utaona sehemu imeandikwa manage apps & devices ingia hapo, utakuta Gb Whatsapp, Og Whatsapp etc ipo hapo. Ibonyeze harafu iondolee ban itarudi kawaida kwenye simu yako. Ukichemka toa taarifa upewe alternative ukifanikiwa pia toa taarifa.
Samahan, mkuu, mbon ukiingia kweny hiyo sehem ya manage apps hukuti hiyo whatsapp gb
 
Back
Top Bottom