Whatsap plus

amoneyazan

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
698
Reaction score
473
Habari zenu wadau
Nawezaje pata Whatsap plus ambayo intumika currently which is not banned
Msaada wa link tafadhali
 
"not burned" = isiyounguzwa! Ni version gani ya whatsapp+ iluyounguzwa?
Kama ulimaanisha isiyozuiwa ungesema barred au banned
 
"not burned" = isiyounguzwa! Ni version gani ya whatsapp+ iluyounguzwa?
Kama ulimaanisha isiyozuiwa ungesema barred au banned

Thanks kiongozi nsha edit .
haya msaada tafadhali
 
Kwani tofauti kati ya ile Og na hii Pluss zaid ya kuedit kuwa au kutokuwepo on line na Viediting vngine vidogo vodogo , Kwa waliowakongwe kwenye Hii plus , sababu ni toka mda kidogo baada ya kuitumia na kuiUnstalll
 
+ piaa ina uwezoo wa kutuma content yenye ukubwa zaidi
Ina appearance nzuri na unaweza change themes
privacy yake iko juu nk
 
Sema tatizo lake ndo hivyoo tena haiko secure any time inaweza kua banned
 
Many times ushakuwa banned mkuu lakini hukomi hehehe.... Player sijuagi unaipendeaga nn ile whatsapp plus....

Hahaha player ni hatarii brother napigwaa bann
Lakinii hii kitu nitamuu balaa asee
 
Wadau OgWhatsapp yangu inasumbua, nimeitoa nahitaji toleo jipya lisilokuwa na usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…