Wakuu,
Natumia tecno S9,lkn bado inanizingua yaani sijaielewa vizuri.Sasa kila app ninayotaka haifunguki,neno "whatsap is denied to read contacts" ndo linakuwa displayed!
Naombeni msaada tafadhali.
♥This means WhatsApp is not enabled on your contacts privacy. You simply need to enable it to remove that error.
♥ You can enable it by -Going to Settings, Tap
Privacy -Tap Contacts -Make Sure WhatsApp is
set to "On"
naifanyiaje root cm yangu kaka noah?
Una maanisha nini unavosema kila app unayotaka haifunguki?? Inafanyeje unapojaribu kufungua toa maelezo in details tujaribu kuhisi tatizo maana njia ambayo ningekupa jamaa juu hapo kaitoa lakini umesema umejaribu imeshindikana so am guessing tatizo jingine... N ulivoinstall whatsapp, settings za namba ya simu na registration mwanzoni ulienda vzr ukamaliza??
mkuu Dreson4,hayo yote nimejaribu lkn wapi! na kila ki2 kwny registration kiko ok,tatizo ni pale napotap app fulan eg.whatsapp,facebook,youtube etc inagoma-inadisplay neno WhatsApp(or facebook) is denied to read contacts na hilo neno linajidisplay kila mara on screen,Nisaidieni wajameni!