Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.
Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.
Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu hadi 724mb kwa md mchache tu.
Wakati instagram ipo zaidi ya miezi 3 imekula 800 na kitu tu.
Kwenda kucheck kwa network usage imetuma na kupokea files za 19mb tu.
Tukae mbali na hizi apps ambazo siyo official wakuu
Mkuu shukrani sana kwa Taarifa. kweli hapo mtu ungeishia kusema Kampuni za Simu WEZI wanaiba MBs
Ndio ipi hiyo. Mbona siijui!
Kama unajua OGwhatsapp hii ndio mbadala wake
Okay.
Sijawahi kuhangaika na whatsapp nyingine zaidi ya hii most popular
Ni whatsapp hiyo hiyo ila hii inakuwezesha kutumia zaidi ya namba moja kwa whatsapp, ila ndio siyo salama kama ilivyonikuta, nakushauri usithubutu kuzitumia mkuu
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.
Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.
Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu hadi 724mb kwa md mchache tu.
Wakati instagram ipo zaidi ya miezi 3 imekula 800 na kitu tu.
Kwenda kucheck kwa network usage imetuma na kupokea files za 19mb tu.
Tukae mbali na hizi apps ambazo siyo official wakuu
Tuwe makini sana mkuuPamoja sana kiongozi.
Uongo tu huo hakuna ukweli wala nini labda simu yako iba shida tu! mimi nina wiki mbili sasa na uwa ninajiunga na kifurushi cha chuo mb500 lakini mboba uwa haziishi na ninafanya na mambo mengine lakini still haziishi??? simu yako ina tatizo siyo Fapp
Sio kweli kama watsup inakula mb sana, labda una download video au una send video. Vitu ambavyo vinakula mb sana ni Google, ushauri hakisha kabla ya kulala apps ziwe off kama Skype, viber, imo, na apps nyengine.
Jengine hizi simu za android zikiwa wazi apps ujue mb kwisha kabisa.
nadhani unaweza kua sawa au si sawa. kea uelewa wangu ni kwamba ulaji huo kwa mleta mada umeanza baada ya yeye kuweka hiyo application. na katika upelelezi wake amekuta hiyo application ndiyo inayokula zaidi mb zake. sasa kama yenyewe imekula zaidi utakataaje kuwa siyo hiyo application?
nukuu
" , nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.
Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.
Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu"