Whatsaap web

Privacy ya nini na wewe umeolewa?labda kama hamjaoana ndio utahitaji kuwa na hiyo privacy...
Ndio nakuwa mwaminifu ila mtu kufatilia mambo yangu binafsi in the name of uaminifu ni kuingilia privacy.
 
Why hacking??? Why getting into somebody's privacy???? Anyway kama kweli Unamaanisha nenda playstore kanunue apps utafanikiwa zoezi lako
app ipi ya kununua unaijua yenye feedbak nzuri
 
Hakuna haja ya kudownload whatsapp web. Ingia kwenye browser yoyote andika web.whatsapp.com halafu utascan qrcode kupitia simu husika baada ya hapo utakuwa connected na simu kwenye browser.
 
Unafikiri kuacha kitu cha mchezo ? Labda uwe hujapenda........

Nipo...
Yani mi naweza penda sana tu ila mtu uki cross line ya vtu nisivovipenda no way out aisee. Mi kuna chart za mtu nilishika na nilikuwa na hisia maana wengine machale hutucheza mno kwa vtu bila kuambiwa and I was waiting for the moments, kweli nikakuta hzo it was over forever.
 
Pole sana ....mtu aweza kukuathir mpka usimuamini tena mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…