Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
- #21
ngoja ntawafuatilia zaidi.. ninajua kuhusu mnemonics na kwa mnemonics mtu anaweza kukariri hata cards 54 ndani ya dakika na akazirudia zote vizuri sema still inaweza kua scam maana mnemonics mtu anajifunza kuimaster si kwa muda mfupi, hadi mtu kua master kwenye mnemonics it takes time
waweza kuangalia hizi web zao mbili
1.The Almena Method | Typing Online | Keyboard Lessons | Learn to Type TODAY!
2.Learn to Touch Type | The Almena Method
wameweka hadi contacts zao za simu