Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Fantasy!
Wengi wenu si mnajua maana ya Fantasy sio ee?!
Aya kwa wale wenzangu na mie akina Kayumba,
Fantasy maanake = kitu cha kufikirika, imaginations, kuwaza, uswahilini mnasema KUBASHIA.
Juzi kati nikawa naangalia movie flan amazing, ikanikumbusha kitu kimoja kuhusu Fantasy!
Kabla sijaolewa, nikiwa sekondari kulikuwa na kaka m1 nilimpeenda sana, nikimwona nakuwa kama teja, usiku naanza ku fantasize kuhusu yeye lkn kumwambia siwezi gadame,
To be exact, nilikuwa namu-imagine anani kiss kiss, kuanzia juu mpaka chiniii, usiku nikilala namwooootaaa ananipiga dudu, che! Pepo la mahaba kumbe ni fantasy, nikiamka pichu imelowaaaajee sasa, kama nimebakwa kumbe fantasy!
Siku 1 huyo jamaa niliekuwa nam fantasize akaniita, ktk maongezi akaniambia we dada me nakupendaga sanaaa, tangu form 2 mpaka leo form 4, usiku nikilala nakuwaza, me nikajikausha kama cjamwelewa vile tukaongea nikaondokaaa
Kimoyo moyo nilijiskia vzuri lkn sikuwahi kumwambia kuwa nampenda pia, mpaka sasa hajuiii na ameshaoa anaishi America.
Fantasy, fantasy fantasy!
Nambie fantasy zako mwana JF zilikuwaje au zipoje?! ulikuwa au unam fantasize nani mkali huku duniani?
Je ni Kim Kardashian, Kanye West, Boris Kadjoe, Beyonce, Diamond Platnums, Ben Pol, AY, Mwana FA, Snura, Shaa, Vee Money, Wolper, Uwoya, Wema, lara 1 au Hamorapa? Hahahaha
Msinitaje plz!
Kuwa mkweli, Mungu anakuoonaa!
Tupe Details puleeessss!