Are sure hujausahau huu wimbo in your list? Brandy & Monica - The Boy Is Mine (1998) + Lyrics - YouTube
Hinde Monii.....wa Kanda Bongoman
Teh ila ninaujua...Ikibisampipa - Werason
najua spelling nimechemka, kikongo kigumu.
Teh ila ninaujua...
Usisahau wa enzi zako...Yondo sister Mbuta Mbutu
Huyu nguli wa music nina mkubali, kuna vitu kama: Endless Love, Say me say you..., Penny lover (jambo nipe senti moja, jambo jambo...), Dancing on the ceiling, All night long n.k.
I swear-all 4 one!,i'll be thinking about u-london beat,mi wa zamani bana!
True colour - Phil Collins?
If loving you is wrong - Ingram?
These arms - All 4 One
Dah utakuwa umezisahau...zipo nyingi sana km Rojamila...Adrada...lolzingine sizijui, ndio bolingo pekee niliyowahi kuipenda.
Hinde Monii.....wa Kanda Bongoman
Nimekuchagua Wewe- Bob Rudala - YouTube huu uko kwenye memory yangu kuliko mwingine wowote....
Mangumihiyo ikipigwa huwa mnafanya nini kati ya hvi! Mnabusiana,mnaongea,mna-do au mnakung'utana mangumi?