Whats wtrong with this picture??

Whats wtrong with this picture??

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
10325751_857114254302534_501355551694548839_n.jpg


90% YA WATU WAMESHINDWA KUTAMBUA KIPI HAKIPO SAWA KWENYE HII PICHA YOYOTE MWENYE KUJUA TAFADHALI !!ANGALIA KWA MAKINI,LETA JIBU HAPA

CC: Mr Rocky Tized utafiti miss chagga iss NEDDY
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko, ana idadi ya vidole sita ukijumlisha na kidole gumba.
Kama ntakua nimepatia kutoa jibu sahihi, swali lako halijakaa vizuri kwa sababu hilo sio tatizo la picha.
SO TATIZO KWENYE PICHA NI NINI? By the way umewahi sana kutoa jibu ungeacha watu waumize kichwa kidogo
 
Mndengereko, ana idadi ya vidole sita ukijumlisha na kidole gumba.
Kama ntakua nimepatia kutoa jibu sahihi, swali lako halijakaa vizuri kwa sababu hilo sio tatizo la picha.

sawa ana vidole 6 pia hicho kidole alichoweka mdomoni ni kikubwa kuliko kawaida.
 
Last edited by a moderator:
SO TATIZO KWENYE PICHA NI NINI? By the way umewahi sana kutoa jibu ungeacha watu waumize kichwa kidogo

Ok mkuu wakati mwingine ntachelewachelewa, sema nilikua najaribu nilitaka kusema black and white ndio tatizo la hiyo picha.
 
Ok mkuu wakati mwingine ntachelewachelewa, sema nilikua najaribu nilitaka kusema black and white ndio tatizo la hiyo picha.

poa mkuu ila mi nahisi black and white sio tatizo ni moja ya editing tu,mhusika anayopenda itokee
 
poa mkuu ila mi nahisi black and white sio tatizo ni moja ya editing tu,mhusika anayopenda itokee

Uko sahihi mkuu, nnachomaanisha ni kwamba, mwanzoni nilitoa kipaumbele kutafuta kasoro kwenye picha badala ya mhusika anaeonekana kwenye picha. Uwe na wakati mwema mkuu.
 
Siku nyingine mkuu Mndengereko kama itawezekana waombe mods wabanie maoni hata kwa siku nzima ili chemsha bongo inoge
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom