Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mkuu.. una uhakika nguo ni over size na sio kwamba askari ndio under size?Tatizo ni kuwa everything is WRONG
kuanzia kofia zilizokuwa zimechakaa na ambazo si size zao mpaka uniform ambazo not only ni OVER SIZE lakini zinaonekana kama vile ni za askari za COLONIAL ...tena wa enzi za Kings African Riffles
Sijapata bahati ya kuona viatu vyao lakini sitoshangaa kama si rubber shoes
Tatizo bado liko kwa PR wa Jeshi
Kila mtu anaangalia upande wake, hatua tofauti...
Kama ushonaji wenyewe ndio huo na kiwango cha kitambaa kitakuwa ni duni pia, ukifuwa rangi inayotoka hapo usipime.Inawezeka hayana muda mrefu yamefubaa kutokana na kufuliwa.Among other reaseons mentioned above, hizi zinaonekana more than three years old. Kauka nikuvae. Inaoekana kasi ya kuloose weight ni kubwa katika jeshi la polisi (may be kutokana na ugumu wa maisha) kiasi kwamba sasa uniform inawapwaya; lazima waonekanae sio smart.
ILA HATUPO SERIOUS KATIKA MAMBO MENGI, cheki hii hapa huyu mwandishi anasema HAJAWAHI KUONA VITU OVYO OVYO KAMA HII, HILO NENO OVYO OVYO LIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA ALIYOANDIKIA KWA KISWAHILI NIMEPATA HILO, ASKARI HAWA HAWAPO SMART, HAWAJAJIPANGA INAVYOTAKIWA, HAWANA KANUNI MAALUMU WAPO WAPO TUUU, ANGALIA KOFIA ZAO, KILA MTU KAVAA ANANAVYOTAKA , YAANI HATA ASKARI WA KIKE YUPO RAFU RAFU, TUNACHEKWA NA NDIO MAANA TUNADHARAULIKA, VITU VINGINE SIO SERIKALI NI WATU WENYEWE HAWAJIJALI, au serikali imefanya watu wake wasijiali? hii ilikua wakati wanapokea meli ya kivita ya kichina juzi juzi dar
LINK HII HAPA http://blog.sina.com.cn/s/blog_53b718000100qyb7.html
[FONT=黑体] <WBR><WBR><WBR><WBR><WBR><WBR>[/FONT]