Whats wrong with Pinda?


Unajidanganya ndugu......kwe,,kwee
 
Hivi kwa akili zenu mnafikiri JK angemweka kiongozi wa kumfunika yeye? lazima achague watu kama Pinda, Kipanya alivyosema BB mlimlalamikia sana!
 
Unajidanganya ndugu......kwe,,kwee

Paka Shume kama una ndoto kuwa Lowassa atakujakuwa kiongozi wa juu wa nchi hii tena ujue you have been hallucinating!! Ukweli ni kwamba laana ya mwalimu itamuandama mpaka atakapowekwa kaburini na akiforce kama alivyoforce uwaziri mkuu , mabaya zaidi yatamfika. Angeshauriwa aachane na siasa akatumbue fedha alizotuibia basi!!
 
Ni mbaya sana pale mtu unapojiona kuwa upo sahihi.....halafu hata usiwe na chembe ya kufikiri sivyo
 

Gt mimi siku zote niliamini kuwa wewe ni wa leo kumbe sivyo uko sawa na Kingunge! Waziri mkuu na Rais wanapokuwa safarini hasa mikoani haiwazuii kufanya kazi za ofisini kwao kwani kila siku wanapata briefing za mambo yanavyoendelea na wao huto maelekezo au maamuzi huko huko waliko. Kumbuka wanapokuwa mikoani, ofisi zote za wakuu wa wilaya na mikoa zinakuwa zao na mara nyingi hawa viongozi wa mikoani inawabidi hata kuhama nyumba wanamoishi kuwapisha wakulu wao!!
 
Juzi nilikuwa naangalia documentary ya wakulima wa mpunga China. Wanalima mashamba madogo, tena milimani. Na zana wanazotumia ni sawa na za kwetu. Lakini output yao ni kubwa sana kuliko babu yangu mwenye heka 10.

Hivyo Pinda anaweza kuwa mchapa kazi mkubwa. Lakini anaweza kuwa kama babu yangu anayerudisha gunia kumi katika katika kazi za heka 10.

Lakini katika rutuba ya nchi yetu, Pinda anaweza kurudisha gunia 10 katika nusu heka.
 

kufanya kazi ni pamoja na kutupatia sisi wananch strategy zao za kukuza huo uchumi

sasa nenda kwenye website ya waziri mkuu unionyeshe policy paper hata moja kisha urudi tujadiliane

hivi wanafikiri akina salva wajinga kugoma kuweka website?
 

Nyerere alishakufa na hajamuachia mtu yeyote laana, if something is wrong in society, we all need to fight up against!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…