Whats wrong with African mothers?


Bob Marley alikuwa mvuta majani. Kwangu mimi, pamoja na mafanikio(kifedha na umaarufu) aliyopata, bado naona kama hoja ya Mchungaji inasimama.
 
Ni kwa sababu baba wa kiafrika anakata viganja anamtia adabu njema mtoto, sasa baba wa kizungu kujumlisha mama wa kiafrika ni mama wawili, teh teh teh.
 
...
comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja

Nakumbuka Baba yangu pamoja na kuwa hakwenda shule ya maana, kwenye miaka ya '80 akiwa na miaka 66 alikwisha niambia jambo hili la la tabia na akili zisizotulia za "machotara" (halfcast) hata hawa wa kiarabu! Kwa ujumla nilifuatilia kuanzia tulio soma nao darasani na niliona kuna ukweli ndani yake!

Mch. Masanilo wanaokushutumu ni kujihami tu bila kushughulisha akili zao japo kidogo, ndo maana hapo kwenye red umeomba wazamivu wafanyie study hoja yako. Nakubaliana na wewe kwa 100%. Wengi wa machotara hasa mama akiwa mwafrika, kuna jambo ambalo si la kawaida katika akili zao. Mmoja wao ni mke wangu, kwa vile baba alikwisha ni-caution madhaifu yao naishi naye kwa akili!

Study itatoa na percentage kwa fact ya hoja yako!
 

Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution
 
Wanawake wengi wanaoolewa na wazungu hawajasoma au ni wachimba dhahabu hivyo kusimamia mtoto shule sio wengi wanaweza. Yes I said it, sue me
 
Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution


Haha....Mwanamke anaishi kwa akili ili alinde ndoa ya mume *****...na Mwanaume anaishi kwa akili ili adumishe ndoa na Mke *****...so 1+1 ni kuwa tuishi na wenzi wetu kwa akili.
Big up!
 
Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution

Jina lako linafanana na Katibu wa CCM lakini hujamuelewa Mchungaji, kifupi ni hivi:-

"Baba Mzungu + Mama Mweusi = Chotara" (Hawana mafanikio makubwa)
"Baba Mweusi + Mama Mzungu = Chotara" (Wanafanikiwa kimaisha) hawa ndo alio wataja kwenye post yake!

Yeye anachotaka ni utafiti ufanyike ili kama ni kweli ni kwa percent ngapi na kwa nini?
Kuishi kwingi kuona mengi, mambo mengine siyo lazima uingie darasani, tazama jamii inayokuzunguka kama pilot sample kisha uje na comment!
 

Thanks Mazee!

Wengine kuelewa vitu vyepesi hadi makonzi vichwani.
 

Japokuwa observation yako inatakiwa kuwa supported na empirical study, ila kuja kwenye obervation harakaharaka,

kwa mtazamo wangu ni kuwa, ni rahisi sana kwa mama wa kiafrika kuji-commit kichwakichwa kwa mwanamume wa kizungu na kuamua kumuachia kila kitu ili ampachike ujauzito bila hata kumsoma mwamume huyo kama ni committed kwake na familia au alikuwa ana lengo la kupata black test of sex tu, kichwani mwa mwanamama huyu wa kiafrika kunakuwa kumejaa akili ya kuzaa na mzungu basi. Matokeo yake unakuwa wakina mama wengi wanajazwa ujauzito na wanaume wa kizungu na kuwatekeleza wao na watoto wao.

Ukija kwa kina mama wa kizungu atakuwa tayari kukupatia penzi in a short time lakini suala la kukuachia umpachike mimba litachukua muda mpaka atakapojiridhisha kuwa kweli wewe ni mwanamume committed kwake na familia, issue hapo siyo kuzaa na mwanamume wa kiafrika bali issue ni kuzaa na mwanamume aliye-committed kwake na familia.
 
Rev the observation,,, interesting... Muelekeo upi?

Umewasahau wanaotamba wengi America.... akina JZ, M Jackson, Thandie Newton, Denzel, etc
 
Sina facts za uhakika na hili jambo but am sure watu wengi watakubali kuwa machotara wengi kidogo hazijatulia kichwani.maybe coz they dont fit in upande waafrika au wazungu yaani wanakuwa katikati bila mwelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…