What's wrong here

ok boss, ila bado niko pale pale kwa jinsi ulivyoikopy tatizo liko kwa saa, 😎😎
Ni kweli jibu hapo ni saa tu hakuna kitu kingine
Ukiangalia 7 seconds riddles zingine jibu ni moja tu na ujibu kwa sekunde 7 hiyo ndio najua mimi

Bila hivyo tutakesha hapa
 
Ni kweli jibu hapo ni saa tu hakuna kitu kingine
Ukiangalia 7 seconds riddles zingine jibu ni moja tu na ujibu kwa sekunde 7 hiyo ndio najua mimi

Bila hivyo tutakesha hapa
Na zinakua na hiyo stop watch, em assume saa haipo, itazame useme tatizo nini...
 
Saa imesimama haitembei
Saa ni Mbovu.
4:20 am watoto bado wamelala na kama 4:20pm ndio wapo kwenye school bus kurudi majumbani. Pia kama itakuwa weekend sio muda wa kula 4:20


Ndukiiiii
‍♂️
‍♂️
‍♂️
hilo jagi kama halina kitu
hiyo meza ni dhahabu
Saa ina mshale mmoja tu haina mshale wa sekunde wala dk
saa ina mshale mmoja tu wakuonyesha dk hamna ule unao onyesha saa naule unao onyesha sekunde
Hao wa katikati wanatumia mkono Wa kushoto kula
Hiyo ni stopwatch haiwezi kuwekwa ukutani
Nime solve kwa 2 seconds
Angalia saa kiongozi utagundua hakuna muda wenye mshare mmoja hivyo haijulikan no saa ngapi
paka amenuna hajawekewa chakula,wakati wengine wote Wana nyuso za furaha
Hapa issue ni saa kuwa na mshale mmoja tu! Hamna kingine! Swala LA jug kuwa empty ni graphics tu, ni sawa na kusema mbona nywele ni za njano! *saa ina mshale mmoja*
saa ni ya ukutani,ila imening'inizwa hewani.mazingira ya picha ni ya nje
Hahaha kama saa haipo hapo hakuna mtihani hapo
Solved
 
Hiyo nyumba haina sakafu na meza iko ukutani, haiwezekana ukuta na sakafu vyote viwe na rangi moja..
Jagi halina kitu ila maji yanatoka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…