what's the differece btn LLB for 3yrs and that of 4yrs b'se it's the same degree, why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

what's the differece btn LLB for 3yrs and that of 4yrs b'se it's the same degree, why?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by jacksonmjuni, Aug 2, 2011.

 1. j

  jacksonmjuni Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree, tofauti yake ni nini kwa hao graduates with the same and similar degree?
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Waulize Tanzania Commission for Universities (TCU) ndiyo wanapitisha hizo programs. Inawezekana ikawa ni tofauti kati ya structure za courses, umahili wa waalimu na viwango vinavyotakiwa na Chuo husika. Digrii ya sheria ya Havard siyo sawa na digrii ya sheria ya vyuo vikuu vingine vya Marekani ingawa zote ni za sheria. Mwanasheria kutoka Havard, Yale au Princeton Universities anachukuliwa kuwa na viwango vya juu kuliko aliyetoka vyuo vingine.
   
Loading...