Mkuu!! kwa Gharama Hyo Kama Unajari Sana Brandi Bas Hapo Kuna Samsung Galaxy Pocket , Samsung Galaxy Y!! ila Kama Ww Unataka Androids Tuu Zpo Nyng Ila Ndo Sio Reliable Producers Hamna Either Waranty or Suport au Vyote!! mfano Kina Tecno, Itel na Kuna Nyngne Hazna Majna Zmeandikwa Tuu Androids zpo Maduka Kibao N ww tu Kuzunguka
Nurbert asante kwa ushauri wako, unaweza kunishtua ni duka gani /kwa dealer yupi naweza kupata hizo samsung galaxy pocket ama sumsung galaxy y? Mimi nipo morogoro, so please kama kuna mtu anamjua dealer mzuri hapa Moro anishtue pia.
Guys, please help, I am looking for the CHEAPEST best ANDROID phone in Tanzania. I am not interested in things such as camera, Bluetooth, etc. I am actually looking for the phone that is run by android (even if it is 2.3 version) and that which has a reasonable/reputable battery life. Any ideas please?
morogoro pale kabla hujafika stendi ya daladala ya mjini kama unatokea Masika kuna maduka kibao ya simu, samsung galaxy pocket inauzwa laki 2 ila sis walitupunguzia mpaka laki 1. 8 zipo, au kuna samsung young inauzwa laki 2.4, ni bora ukanunua young ya laki 2.4 kuliko hyo pocket ya laki 2.0 kwani tofauti ya specifications ni kubwa kuliko tofauti ya bei, Ingawa zote ni android 4.2
Thanks Marty, I have seen your post a bit late n' I couldnt manage to call you. Would you please disclose your location? Are you in Morogoro?
Kuna huyo anajiita Amraline(sikumbuki vizuri jina lake)anasema duka lake lipo karibu na kanisa la Kilutheri Kariakoo naona anatoa humu chapa mbalimbali za simu kwa bei nafuu kiasi,ebu jaribu kucheck kwenye jukwaa la matangazo utamkutaNurbert asante kwa ushauri wako, unaweza kunishtua ni duka gani /kwa dealer yupi naweza kupata hizo samsung galaxy pocket ama sumsung galaxy y? Mimi nipo morogoro, so please kama kuna mtu anamjua dealer mzuri hapa Moro anishtue pia.
Kuna huyo anajiita Amraline(sikumbuki vizuri jina lake)anasema duka lake lipo karibu na kanisa la Kilutheri Kariakoo naona anatoa humu chapa mbalimbali za simu kwa bei nafuu kiasi,ebu jaribu kucheck kwenye jukwaa la matangazo utamkuta