Kote. Mkuu kwangu nikiinstall nikajisajili nilala nikiamka nakuta haipo imeji unstall sjui hili ni tatizo gani je kuna mtu imeshampata au ni mimi tu!!??
Wakuu mi nikiinstall app ya WhatsApp na kujib nikilala nikjamka nakuta haipo kwenye cm yangu yaani nakuta imeji unstall hivi tatizo ni nini na nini suluhisho lake je kuna alie wahi kukutana na hii kitu??? Sio mara 1 ni kwa siku 3 mfululizo