Acha hizo weweShida ni wewe siyo Whatsapp.
Instagram, whatsApp zote Shida haziko SawaIko na shida kwangu tuu au kote
Apps zote za Zuckerberg zinacrash...tatizo halijawekwa wazi bado
Ndio BossNi app zipi na zipi. Mi najua 2 tu yaani fb, insta na WhatsApp kuna nyingine!!??
Sindo izo zote au tatu aziwezi itwa zote.Ni app zipi na zipi. Mi najua 2 tu yaani fb, insta na WhatsApp kuna nyingine!!??
Leo inasumbua sanaInstagram, whatsApp zote Shida haziko Sawa