Whataboutism

Acha kuongea vitu abstract mzeeiya! Tanzania ‘haina’ chapaa, nguvu kwenye ukanda wala rasilimali za kuivimbia Marekani. Hivyo, vumilia tu unavyoelekezwa namna ya kuishi na wanaokufanya uishi.
Haha, kuna vitu acha vipite tu, sio lazima kuvielewa.
 
Sasa mkubwa unapokua unawategemea watu kuendesha mambo yao unatarajia kujipiga kifua kwamba hautaki kuingiliwa?

Kama unataka kuwa na Tanzania yako anza kwa kujitegemea kwanza. Yaani tungesema sie hatuna uwezo ila kuanzia sasa tunataka kuwa na Tanzania yetu hivyo hatutaki tena msaada wa mtu yeyote. Hapo kidogo mtaanza kueleweka.
Sera ya taifa tokea 1960's ni nini? Umejaribu kujiuliza?
 
Inatekelezeka?

kwanini isitekelezeke, nchi ngapi zimesambaratika tokea 60's mpaka leo. Hatujilishi? hatuko wamoja kama nchi? hatuna lugha moja inayotunganisha wote kama nchi? kilicho chini na juu ya ardhi haviko mokononi mwetu?
 
You are right Sir!
 
Sasa mkubwa unapokua unawategemea watu kuendesha mambo yao unatarajia kujipiga kifua kwamba hautaki kuingiliwa?

Kama unataka kuwa na Tanzania yako anza kwa kujitegemea kwanza. Yaani tungesema sie hatuna uwezo ila kuanzia sasa tunataka kuwa na Tanzania yetu hivyo hatutaki tena msaada wa mtu yeyote. Hapo kidogo mtaanza kueleweka.
 
Attachments

  • VID-20200208-WA0012.mp4
    9.6 MB
Ukitazama vema video hapo juu utaona us ana shida zake kama ambavyo kenya anazo. Partnership is important
 
Back
Top Bottom